GET /api/v0.1/hansard/entries/1444163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1444163,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444163/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okenyuri",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mswada huu utachangia mno katika magatuzi yetu 47 tukianzia hapa Nairobi ambapo Bunge la Kitaifa lipo. Mswada huu utaleta mambo mengi ikiwemo kukuza uchumi wa sehemu hii na kuleta mpangilio kwenye miji mikubwa kama mji wa Nairobi, Mombasa, Kisumu na pia katika vijiji vidogo."
}