GET /api/v0.1/hansard/entries/1444165/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1444165,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444165/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okenyuri",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nimefurahia sana kuwa Mswada huu umeletwa na mimi. Mimi ni mfano bora wa mtu ambaye amekuwa kutoka vile vitengo vya chini na sasa niko kwenye Bunge hili la Kitaifa, nikizidi kuwatetea wengine ambao si walio katika kitengo cha miaka yangu."
}