GET /api/v0.1/hansard/entries/1444166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444166,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444166/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ombi langu ni kuwa Maseneta wengine wataweza kuniunga mkono na marekebisho yoyote ambayo tutaweza kuyafanya ili Mswada huu uwe sheria ambayo itasukuma taifa la Kenya mbele na kutusaidia pia kutengeza pesa hapa na pale ya kusaidia miundo msingi na wananchi wa kawaida ambao wanafanya kazi hizi."
}