GET /api/v0.1/hansard/entries/1445821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1445821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1445821/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Hili ni jambo ambalo halifai kuendelea kwa sababu, miradi ile imefanywa kuinua maisha ya wananchi na kuendeleza wananchi. Miradi ile ikikamilika, watu wataajiriwa kazi katika miradi ile. Bi Spika wa Muda, iwapo ile miradi haitakamilika, pesa zitakuwa zinapelekwa kila mwaka, ilhali wananchi hawapati faida ya miradi ile, ile tunaita kwa lugha ya Kiingereza,"
}