GET /api/v0.1/hansard/entries/1445823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1445823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1445823/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": ". Pesa zimetumika kwa njia ya kisawasawa na mradi unaonekana. Hii haiwezi kupatikana ikiwa wale magavana walio ofisini sasa hawatakamilisha miradi ambayo ilianzishwa na magavana waliotangulia. Kwa kumalizia, ningependa kuipongeza Kamati hii kwa kutoa mapendekezo ambayo yakitekelezwa, kaunti zile tano zitapata makao makuu kwa haraka iwezekanavyo. Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii."
}