GET /api/v0.1/hansard/entries/1446007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446007,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446007/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa kifupi ile joto tulikuwa nayo pamoja na mwito wa kufanya mageuzi kusimamia mambo yetu sawa sawa ili kutoa ubadhirifu wa pesa katika mifuko ya umma, inasahaulika. Ripoti hii imefuata action iliyokuwa imechukuliwa na Mkuu wa Utumishi wa Umma. Wajumbe wa Bunge la Seneti, waliketi kujadili na kuweka recommendation mpya kuhakikisha kwamba ile kazi iliyokuwa imefanywa na Mkuu wa Utumishi wa Umma itaendelea zaidi. Waliokuwa wamehusika na ubadhirifu wa pesa pia wapatiwe necessarypunishment ."
}