GET /api/v0.1/hansard/entries/1446009/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1446009,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446009/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, naiunga mkono Ripoti hii kwa sababu imetia nguvu kazi na mwito ambao Serikali ilikuwa imefanya mwanzo. Waliopewa nafasi za umma na wanaofanya kazi katika ofisi za Serikali ili kusaidia wananchi, wanafaa kuwajibika kwa sababu wananchi wanawatazama. Sisi ambao tuko katika siasa wala sio kwa upande wa usimamizi wa umma, tumepata mwamko mpya. Tunataka kuona mabadiliko. Principal Secretary (PS) yeyote aliye na nafasi, National Treasury, na magavana wanafaa kuhakikisha pesa zetu zinatumika sawa sawa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}