GET /api/v0.1/hansard/entries/1446010/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446010,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446010/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Magavana wengine hawajawahi kusimama mbele ya wananchi hata siku moja na kuwambia wamepata pesa kiwango fulani kutoka kwa Bunge la Seneti baada ya kupitisha sheria hususan wala wametumia kiasi gani. Sijanena kwa ubaya lakini ukiangalia haswa gatuzi la Tana River, huwezi msikia Gavana akisema eti katika project hii, mgao wa pesa uliokuja ni huu, pesa ambazo zimetumika ni hizi na wanatarajia kumaliza project kwa kutumia pesa kwa hii namna."
}