GET /api/v0.1/hansard/entries/1446011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446011,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446011/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Uwepo wa uwazi ni kitu muhimu sana katika usimamizi wa pesa za umma. Tunataka a new culture, yani tabia mpya kutoka kwa magavana hawa. Kila Gavana akitoa statement au hotuba kwenye mikutano huelezea kilomita za barabara ambazo wamejenga, asilimia ya watu walioajiriwa na mishahara ambayo wamelipa. Kama kuna shida kutoka Serikali kuu basi wanasema hawajapata pesa. Wanafaa waeleze wananchi kwa uwazi usimamizi wa pesa zao. Hili ndilo jambo wanataka."
}