GET /api/v0.1/hansard/entries/1446015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1446015,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446015/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "waelezee sababu. Wananchi wanataka kuona pesa zao zikifanya kazi. Ulipigania kiti hicho, ukaingia na kusimama pale kuahidi kuwa utarekebisha serikali kwa kuwasaidia wananchi wale. Magavana, nawasihi muwaeleze wananchi wetu vile pesa hii inatumika."
}