GET /api/v0.1/hansard/entries/1446016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446016/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mara nyingi magavana wanaposimama huongea mambo ya siasa. Siasa hizi mnafaa kuwaachia maseneta, ‘mama kaunti’ na wajumbe. Nyinyi kama executive ni tofauti. Usiwe mtu wa kuongea siasa kutoka asubuhi hadi jioni lakini husemi ni pesa ngapi zimekuja kwako, ni ngapi umetumia, au ni watu wangapi umefuta kwa sababu ya kuharibu kazi. Haya ndio maneno wananchi wanataka kusikia kutoka kwa magavana."
}