GET /api/v0.1/hansard/entries/1446019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446019,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446019/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu wa Spika, kwa hayo mengi, namshukuru Chair wa Kamati ya Health, Sen. Mandago, pamoja na team yake yote. Wamefanya kazi nzuri. Tunaiunga Ripoti hii mkono. Asante kwa kunipa nafasi hii ya kuongea."
}