GET /api/v0.1/hansard/entries/1446086/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446086,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446086/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": ". Hivyo basi, ipo haja ya kutatua swala la umaskini wa kawi katika nchi zetu ili kuhakikisha kwamba tunalinda mazingira yetu na vile vile kupata kawi ambayo ni nafuu ili wananchi waweze kustawi. Pia, maswala ya haki za kibinadamu ambayo ni nyeti sana katika nchi zetu yalizungumziwa. Hilo lilizingatiwa na Jopo la Sita. Vile vile, swala la e-Parliament, yaani Bunge la kisasa, lilizungumziwa hususan wakati wa COVID-19. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}