GET /api/v0.1/hansard/entries/1446333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446333,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446333/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Khalwale afikirie jinsi gani tutabadilisha sheria hii, kwa sababu ni ngumu kupata mwenye boda boda ambaye ataenda kwa ofisi ya wakili au atamwandikia yale makubaliano ili amuajiri mtu fulani kazi. Kama hana fedha za kumlipa wakili yule, basi sidhani itawezekana kuwa na makubaliano hayo. Vile vile, nimeona kuwa kuna pendekezo fulani la boda boda kuwekwa tracking"
}