GET /api/v0.1/hansard/entries/1446524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446524,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446524/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, Seneta Osotsi ni rafiki na ndugu yangu na tunasikizana sana. Hoja yangu ya nidhamu ni kwamba, ifikapo mambo na sheria za Bunge, hawezi kumtaja mtu ambaye hakuitwa na Bunge ama, hakujakuwa na taarifa fulani kwamba aje na hakuja, halafu yeye anamtaja kwa njia ambayo si ya kisawasawa. Mimi nauliza kama ni haki kumtaja mtu kabla hajaitwa katika Bunge kwa njia mbaya na hajapata nafasi ya kujitetea?"
}