GET /api/v0.1/hansard/entries/1446582/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1446582,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446582/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, hoja yangu ya nidhamu siyo juu ya hayo. Langu ni unielekeze kwa sababu nimemsikiza Seneta wa kutoka Tana River akisema Mama Spika. Sijui kama ni lugha inayofaa kwa sababu, jina mama ni neno la heshima na sina shaka rohoni. Lakini, akikuita Mama Spika, inakaganya wale wanaosikiza kutoka Laikipia na wanaweza sema, yule aliyeketi pale, ni mama wa Spika."
}