GET /api/v0.1/hansard/entries/1446586/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446586,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446586/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 185,
"legal_name": "Danson Buya Mungatana",
"slug": "danson-mungatana"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, ni ile heshima kubwa niko nayo kama alivyosema na ndio maana ninakuita, Mama Spika. Lakini, nimekubali kusema, Bi. Spika. Jambo la kwanza ni kwamba Mswada huu hii ni nzuri sana sababu unahusisha shida ambayo tunapata. Nilikuwa nimetoa mfano wa Tana River, sehemu ya Charidende na Bangali tunachimba madini aina ya gypsum. Wale waekezaji wanachimba gypsum inayotumika kutengeneza simiti. Hata hivyo, wanawachia wananchi wa kawaida shida nyingi. Sehemu hii ya Mswada ambayo inahusisha---"
}