GET /api/v0.1/hansard/entries/1446596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446596,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446596/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "na wafunzwe ili wapate ujuzi wa kazi ya kuchimba madini, viwepo katika makubaliano kati ya mwekezaji na mkaazi wa Tana River. Katiba yetu ya Kenya na sheria hii imetafsiri maana ya ardhi ya wananchi. Ibara ya 62 ya Katiba inanena na kutasfiri maneno ya ardhi ya umma. Madini yote yametafsiriwa kuwa ya ardhi ya umma. Hivi ni kusema kuwa hapa Kenya, mwananchi yeyote ambaye amepata madini ikiwa katika ardhi yake iliyo na title deed, ukweli ni kwamba madini yale ni ya Serikali. Public land au ardhi ya umma imetafsiri kuwa madini yote ni mali ya wananchi. Katika sheria hii, kipengele cha mwanzo kinasema sheria hii imewekwa chini ya maagizo ama principles za Katiba ya Kenya kuhusu ardhi ya umma. Madini haya yatakayopatikana sehemu za Tana River, basi hayatakuwa kutoka kwa ardhi ya mtu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}