GET /api/v0.1/hansard/entries/1446598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446598/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Katika makubaliano ambayo wataandikishana na wananchi, mambo haya yawe pale bayana. Watu wajue kuwa kumefanyika Environment Impact Assessment Report ili wananchi wawe wanajua kutakuwa namna gani wakati madini haya yananza kuchimbuliwa sehemu hiyo. Kwa hayo machache, ninashukuru kwa kunipa nafasi hii. Ninaunga mkono."
}