GET /api/v0.1/hansard/entries/144968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144968/?format=api",
    "text_counter": 35,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Spika, watu wengi wanakufa njaa katika sehemu nyingi hapa nchini. Ni kigezo gani Serikali inatumia kugawa vyakula vya msaada hapa nchini? Chakula hiki huchukua muda gani kuwafikia wanachokihitaji kwa sababu huchukua zaidi ya miezi mitatu kufika Samburu."
}