GET /api/v0.1/hansard/entries/1451248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1451248,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1451248/?format=api",
    "text_counter": 95,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Changamwe, magari yamo. Hili ni jambo muhimu na ni lazima tuliangazie ili tuweke sheria ya msingi ya kuhakikisha kwamba tunapambana na matatizo kama haya. Bali na kuwa na vifaa, vile vile ni muhimu kuwa na wazima moto ambao wanaielewa kazi hii. Hii si kazi ya kawaida ambayo kila mtu anaweza kufanya. Mhusika ni lazima awe"
}