GET /api/v0.1/hansard/entries/1451250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1451250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1451250/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": ", anaweza kupanda ngazi na kukimbia pia. Sehemu nyingi hazina wafanyi kazi wa kutosha wa kuhudumu katika kitengo hiki. Bw. Spika, bali na vifaa tunahitaji kutekelezwa kwa mafunzo ya wazima moto na pia malipo yao yawe tofauti na wengine. Wanafanya kazi kwa mazingira magumu sana. Wanaingia sehemu zina moto pengine bila hata vifaa sawa sawa vya kupambana na moto huo. Ningeomba Maseneta wote waunge mkono ili tupate sheria ya kimsingi ya kuhakikisha kwamba mambo ya wazima moto yanahudumiwa kikamilifu yanapotokea. Naunga mkono Mswada huu."
}