GET /api/v0.1/hansard/entries/1451693/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1451693,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1451693/?format=api",
"text_counter": 305,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "na hazina zipi. Ukweli ni kuwa, shule nyingi ambazo hazikuweko zimejengwa. Kabla ya NG-CDF kuja, eneo langu la bunge lilikuwa na shule zilizojengwa wakati wa ukoloni. Hazikuwa nyingi. Ilibidi wanafunzi watembee kwa umbali mkubwa wakienda kutafuta elimu. Haya yote yalisababishwa na umaskini mkubwa. Mchana hawangeweza kurudi nyumbani kula chakula cha mchana. Walibaki shuleni na njaa mpaka jioni ilihali wengine hawakula asubuhi. Hata hivyo, hazina ya NG-CDF ilipokuja, mashule ya karibu yalijengwa na imekuwa rahisi kwa wanafunzi kwenda shuleni na kurudi nyumbani ili wapate kopo la uji na wanaporudi huwa wana makini katika"
}