GET /api/v0.1/hansard/entries/1451695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1451695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1451695/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "zao na wanapata elimu. Hazina ya NG-CDF imekatiza mambo mengi sana. Kama ingekuwa haipo, nakuhakikishia kuwa viongozi ambao wanawakilisha maeneo Bunge wangelazimika kwenda kulalamika kwa Mtukufu Rais na kusema kuwa wako chini ya miguu ya Rais. Badala ya kuwahudumia wananchi Jumamosi, wangelazimika kwenda kubisha kwa milango ya Ikulu wakiomba wajengewe"
}