GET /api/v0.1/hansard/entries/1456601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1456601,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1456601/?format=api",
    "text_counter": 3991,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Wameongeza pia katika shule za sekondari. Nimeona Ksh205 milion. Wameongezewa katika yale makadirio yaliyokuwa ya mwanzo. Na sisi tunasema elimu ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya taifa. Kwa hivyo, watoto wetu wengi watabaki madarasani."
}