GET /api/v0.1/hansard/entries/1457923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1457923,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1457923/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mhe. Spika, mimi sijaridhika. Badala ya Mwenyekiti kutumia aya nyingi na sentensi nyingi, kurasa kwa kurasa, nilitaka aniambie kwa sentensi moja kwamba stima inarudi Kiunga lini. Leo ni siku mia moja na tisa, miezi mitatu na zaidi, Kiunga hakuna stima. Na shida ni kuwa generator imeharibika. Kwani Kenya Power ni maskini sana hawawezi kukomboa meli kutoka Mombasa kupeleka generator ? Unaniambia"
}