GET /api/v0.1/hansard/entries/1457940/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1457940,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1457940/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "mbili. Nimeenda kwa ofisi zote za Kenya Power. Generator moja ndogo ya Kenya Power iko Mokowe na generator nyingine ya contractor iko Mokowe. Shida yao wanatafuta maafisa wa Kenya Defence Forces (KDF) wazibebe. Nyinyi hamna pesa za kuzibeba kweli? Si hiyo ni biashara? Si watu watalipwa?"
}