GET /api/v0.1/hansard/entries/1460324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1460324,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1460324/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Shida ni nyingi kule kwetu. Tuna vijiji 23. Leo sitazungumzia watu wangu tu wa Lamu Mashariki, nitazungumzia hata wale wahudumu wanaokuja kufanya kazi kule. Wanapata shida zaidi hata kushinda wale wananchi wanaishi kule. Kama polisi wakija kule, wanapata shida sana. Inafaa kutafutwe mipangilio maalumu. Hii pia itakuwa mojawapo kusaidia. Polisi akishatumwa Lamu Mashariki akilini anajua kuwa ametumwa kule kwa sababu ni adhabu. Akienda kule naskia anasema kwamba tunawapatia kazi nyingi wale OCS. Afisa huyo wa polisi akifika kule, wiki nzima hafanyi kazi, mpaka watu wakae naye wamueleze polepole ili azoee yale mazingira. Si vizuri kuweka afisa wa polisi kule kwa miaka nyingi. Mimi ninamshukuru Waziri Kindiki kwa sababu alipokuweko, na sasa akija InshAllah akipitishwa, amesaidia sana ule mpango wakutoa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}