GET /api/v0.1/hansard/entries/1460326/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1460326,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1460326/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "barabara hiyo haipitiki. Pesa ya barabara hiyo iko na nimefuatilia na kwa sasa, tumepata imani na Serikali hii. Kama mkandarasi hawezi kuitengeneza barabara hiyo, basi ashirikiane na mkandarasi wa ndani ili wamalize kwa sababu Ksh1,000,000,000 iko. Ifanyiwe kazi ndiyo watu waweze kupata huduma kwa urahisi. Kwa sasa, kwa vile barabara haijapelekwa mashinani, ukitaka kufika King Fahd mpaka utumie Ksh7500. Kwa hivyo, huduma ya barabara ikiwekwa, hizi adhabu nyingi za kufikiria zitapungua. Kiunga iko karibu na mpaka wa Somalia na imekatwa na mambo mengi. Ukitaka pasipoti, kitambulisho au cheti cha good conduct, mpaka ulipe Ksh8000 kwenda Mji wa Lamu. Hiyo ndiyo taabu walionayo vijana wetu na tunawaelewa. Sisi tulisubiri, lakini wengine hawawezi kusubiri. Wakiona vitu kama hivyo, mambo yanaharibika. Unaelewa na ningependa mtutembelee muone zile sehemu zetu. Sisi tuna wadi tatu; Kiunga, Ndau Island, na Kiwayu Island. Kuna kufika Mkokoni; unatembea kwenye maji kufika Ndau kwa jisaji moja kutoka Lamu. Hiyo ni adhabu tosha. Kisha unamweka afisa…"
}