GET /api/v0.1/hansard/entries/1460330/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1460330,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1460330/?format=api",
"text_counter": 226,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Asante sana. Katika Bunge lote, mimi ndiye Mbajuni peke yake. Ninawakilisha Bajuni wote walioko Kenya nzima. Mimi ninatafuta marafiki kutoka kila kabila. Mimi sina ukabila kwa sababu lazima nitafute kila mtu. Sina mwenzangu hapa. Hakuna mtu anayezungumza lugha yangu. Ukitaka kufika Kiwayu, ni lazima uende kwa maji kwa jisaji moja na dakika thelathini. Huduma ziwe ni hizo matatizo."
}