GET /api/v0.1/hansard/entries/1461302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1461302,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461302/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mheshimiwa Spika, ukweli ni kwamba jenereta ndogo imepelekwa sasa hivi, ipo Kiunga na mafundi wanafunga. Hii iliyopelekwa ni ile imerekebishwa. Pia kwa hiyo, tunashukuru lakini ile jenereta kubwa mpya bado iko Mkowe. Twataka wafanye bidii waipeleke ile kubwa kwa sababu wamejua kuwa kuna matatizo. Ile ndogo imelemewa haiwezi peke yake ndio mkaitisha ile kubwa."
}