GET /api/v0.1/hansard/entries/1461303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1461303,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461303/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Kitu kingine ni kwamba hii stima imepotea. Niliuliza swali nafikiri tarehe ishirini na tano mwezi wa nne na nikajibiwa tarehe thelathini na moja mwezi wa sita. Wewe ulipotoa amri ya kusema jenereta ipelekwe, hilo jambo limetendeka kwa siku kumi. Kwa nini hizo siku zote tangu nilipouliza swali hawakufanya bidii watu wangu wakapata stima? Watu wamekuwa wakiteseka. Kwa hivyo, Mheshimiwa Spika nataka uwapatie watu wangu fidia kwa zile shida walizopata ndio siku ingine wasifanye makosa kama hayo. Kitu kikiharibika kirekebishwe haraka. Asante, Mheshimwa Spika."
}