GET /api/v0.1/hansard/entries/1461307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1461307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461307/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mheshimiwa Spika, Bwana Mwenyekiti hafai kudanganya hili Bunge. Jenereta imekuwa Mkowe kwa zaidi ya miezi miwili. Shida tu ilikuwa ni kuitoa Mokowe kuipeleka Kiunga. Sasa shida yangu ni kwamba kwa nini haikutolewa siku zote mpaka wakati Mheshimiwa Spika alisema hapa ndio mumeweza kuitoa? Sasa hizo kazi za wizara zitakuwa zinaachiwa Mheshimiwa Spika? Mpaka Mheshimiwa Spika aseme ndio ifanywe? Ilikuwa Mkowe kwa zaidi ya miezi miwili."
}