GET /api/v0.1/hansard/entries/1461309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1461309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461309/?format=api",
"text_counter": 102,
"type": "speech",
"speaker_name": "Endebess, UDA",
"speaker_title": "Hon. (Dr) Robert Pukose",
"speaker": null,
"content": " Mheshimiwa Spika, mimi namuonea huruma Mwenyekiti wa Kamati ya Umeme kwa sababu ya yale Mheshimiwa Ruweida anauliza. Huyu ni Mbunge mwenzako. Huwezi kuwa unamwaamuru afanye mambo fulani ilhali yeye ni Mjumbe mwenzako. Yeye ametumwa hapa kuwasilisha habari uliotisha. Kwa hivyo, tusaidie Mheshimiwa aweze kufuatililia vile unataka ili mambo yaweze kufanyika. Hawezi kuwa anaelewa kwamba jenereta imekaa kule kwa zaidi ya miezi miwili. Hawezi kujua kwa sababu yeye ni Mjumbe mwenzako. Kwa hivyo…"
}