GET /api/v0.1/hansard/entries/1461812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1461812,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461812/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja ya leo ya Mawaziri wateule. Natoa support na kupongeza Kamati ambayo ilifanya vetting . Nina furaha kubwa kwa sababu tumepata Waziri ambaye atatusaidia sana katika Wizara ya Mining na Blue Economy and Maritime Affairs."
}