GET /api/v0.1/hansard/entries/1461906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1461906,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1461906/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, nataka nimkosoe dadangu Mhe. Betty kwa haya mambo ya regional kingpin . Huyo ndiye kingpin . Hajasema kuwa hawezi kufanyia kazi Kenya nzima. Atafanyia kazi Wakenya wote lakini ifahamike kuwa Hassan Ali Joho ndiye kingpin wa Coast Region na North Eastern yote. Ahsante sana."
}