GET /api/v0.1/hansard/entries/1462260/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462260,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462260/?format=api",
"text_counter": 108,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Mswahili anasema kipitacho rohoni kinapaswa kuonekana usoni. Seneta Beth Syengo ameongea kuhusu Rais wa Jamhuri ya Kenya na yeye anaonyesha kwa vitendo. Hii ni kwa sababu nikimwangalia, ninaona amevalia kofia ya chama kinachoongoza. Hata mkoba wake---"
}