GET /api/v0.1/hansard/entries/1462563/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1462563,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462563/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Nachukua fursa hii kumpongeza Seneta wa Bungoma kwa Taarifa aliyoleta kuhusu madeni. Limekuwa donda sugu kwa sababu tumeliongea si mara moja. Hili jambo la wanakandarasi kupewa kazi na hatimaye kutolipwa inaleta sintofahamu. Ni vizuri ijulikane kwamba wakati kazi inapeanwa, inasemekana pesa ziko katika bajeti. Kwa hivyo, mtu kutolipwa pesa zake inaleta mtafaruku kwa sababu unakuta mtu alikopa pesa kwa benki halafu anakuja kupigwa mnada na mali yake kuchukuliwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate."
}