GET /api/v0.1/hansard/entries/1462577/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462577,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462577/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ningependa kulaani na kukashifu vikali vitendo kama hivyo kwa sababu watu walipokuwa wanatoa huduma tofauti tofauti katika kaunti zetu, walijitolea wakijua wanaonyesha uzalendo kwa jamii zetu. Hata hivyo, imegeuka na kuwa kirba goji goji kirba na wakati wa malipo inakuwa kilio."
}