GET /api/v0.1/hansard/entries/1462688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462688/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia ripoti ya Kamati ya Fedha na Bajeti ya Bunge la Seneti kuhusiana na kupunguzwa kwa fedha zinazokwenda kwa mfuko wa usawa na Bunge la Kitaifa. Kifungu cha 204 cha Katiba yetu kinasema ya kwamba kutakuwa na mfuko wa usawa, yaani Equalization Fund, ambapo kila mwaka kutalipwa asili mia nusu ya fedha ambazo zimekusanywa na Serikali kama mapato ya mwaka uliopita. Accounts ambazo zinatumika kwa sasa ni za mwaka 2021---"
}