GET /api/v0.1/hansard/entries/1462690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1462690,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462690/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, kwa ajili ya lugha ya Kiswahili, sanifu ingekuwa vyema, Sen. Faki kutumia “hazina ya usawa” badala ya “mfuko wa usawa.” Hii kwa sababu tunajua mfuko ni zile ambazo tunatumia kubeba pesa na yale mambo mengine. Itakuwa vyema akisema “hazina ya usawa” ndio Wakenya waweze kuelewa kwa sababu “mfuko wa usawa” ina maana nyingi."
}