GET /api/v0.1/hansard/entries/1462695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462695/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Nilikuwa nasema kuwa sisi kama Seneti ni lazima tusimame kidete kwa sababu hazina hii ilitarajiwa kusaidia kuleta usawa katika nchi yetu. Hata hivyo, sehemu zinazopaswa kusaidika hazisaidiki japo karibu Kshs48 bilioni hazijatumika. Huo ni upetepetevu kwa upande wa Serikali. Ni kinyume na Katiba na hatuna budi kupinga."
}