GET /api/v0.1/hansard/entries/1462931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1462931,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462931/?format=api",
    "text_counter": 57,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante Bw. Spika. Jina langu ni Stewart Madzayo, si kama alivyosema ndugu yangu. Amesema Mathayo kwa sababu ile “d” na “z” ameweka “t” na “h”. Ni sawa kwa matamshi ila amekosea kidogo kwa jina lenyewe. Bw. Spika, cha kwanza ninachotaka kuunga mkono ni kwamba twende kwa njia ile---"
}