GET /api/v0.1/hansard/entries/1462961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462961,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462961/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Mimi ninaunga mkono Seneti yote ijumuishwe katika kuichanganua yale mambo yatakayoletwa katika Seneti. Hii ni ndiposa Wakenya waweze kuona mambo yamewekwa paruwaja na yaweze kuangaziwa vizuri kama vile tulivyofanya katika zile impeachments zingine."
}