GET /api/v0.1/hansard/entries/1462964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462964,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462964/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Kwa sababu nimekuwa katika Seneti hii, ni vizuri Maseneta wote wakijumuishwa katika hili jambo kwa sababu ikipelekwa katika Kamati, maoni watakayo yaona haitaletwa hapa katika Bunge na wale watu tutakao wachagua. Bw. Spika, sina shida yoyote na wale Maseneta waliochaguliwa kwa sababu wanaujuzi na uzoefu na wanaweza kuyaangazia yale mambo. Hata hivyo, jambo hili likifanywa katika Seneti, maneno yote yatawekwa wazi ili watu waweze kuona na itakuwa ni vizuri zaidi. Asante."
}