GET /api/v0.1/hansard/entries/1463002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1463002,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1463002/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Moja ya jukumu ambalo Bunge la Seneti limepewa na ni jukumu ambalo halijapewa Bunge la Taifa, ni kuangalia malalamiko baada ya gavana kung’atuliwa. Ndio maana nimesimama hapa siku ya leo kupinga Hoja iliyo wasilishwa leo hii kwenda njia ya kamati. Ningependa twende Bunge nzima, tukae kitako na tuvalie njuga jambo hili. Ninapingana na msemo uliosemwa na Seneta wa Vihiga ya kwamba, kuna mambo tunafaa kuangalia."
}