GET /api/v0.1/hansard/entries/1463768/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1463768,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1463768/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Bwana Spika, ninaomba tuwe makini sana hapa Bungeni. Si sawa tukisema tusifuate dini. Katiba yetu inatambua dini zote. Katika Uislamu, kujiweka kitanzi ni kati ya dhambi kubwa sana, na ninaamini kwamba hata kwenye Bibilia ni hivyo. Lakini pia Qurani inasema kwamba watu ambao hawaandikiwi madhambi ni watatu; yule ambaye hana akili mpaka wakati akili itakaporudi, mtoto mdogo na yule ambaye amelala mpaka The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}