GET /api/v0.1/hansard/entries/1463769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1463769,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1463769/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "atakapoamka. Kwa hivyo, kama kutakuwa na njia ya kuhakikisha kweli hana akili, hapo tutasema hana dhambi. Kuna watu ambao wanatumia hizi nafasi vibaya; kwa mfano, mtu akikosana na bwanake, pengine ameoa bibi mwingine, anakunywa na kuleta sarakasi. Huyo anafaa kuadhibiwa. Sisi wengine angalau tunakubali wanne. Kwa hivyo, mambo mengine yasiingizwe katikati na mtu akatumia nafasi hiyo. Ahsante, Bwana Spika."
}