GET /api/v0.1/hansard/entries/1464208/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1464208,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1464208/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi nami niwakaribishe Cambridge Link School Bungeni. Ningependa kurekebisha jambo Mhe. Spika ametaja kidogo. Kwa vile ninatoka sehemu za Lamu, imechukuliwa kuwa hii shule nayo inatoka pale. Ilhali, inatoka sehemu za Nyali, Mombasa. Ninawakaribisha sana. Niliwatafutia nafasi ili wakuje Bungeni. Waliona nimewaleta wanafunzi wa Lamu wengi, na wao pia wakataka kufika mahali hapa. Mtoto wa dadangu, Jamil, anasoma katika hii shule, na akawa anataka kufika mahali hapa. Na hivyo ndivyo waalimu walijiandaa kwa hii safari. Karibuni sana. Ninawahisi msome kwa bidii maana nyinyi ndio viongozi wa kesho. Katikati yenu, tuko na marais, magavana, wabunge na maspika. Vile vile, wengine labda wangependa wawe mawakili. Kwa sasa, tunaambiwa kuwa the sky is not the limit ."
}