GET /api/v0.1/hansard/entries/1465004/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1465004,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1465004/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante Bw. Spika. Naunga mkono Hoja hii kwa sababu ni Hoja muhimu inayoikumba Seneti. Mara nyingi baada ya kwenda likizo tunaitwa turudi kwa sababu ya mambo ya dharura yanayotendeka katika nchi na yanahitaji Seneti kupeana mwelekeo."
}